ABOUT

Flaviana Seleman Maguha ni binti pekee katika familia ya watoto watano na ni mwanafunzi anaesomea uandishi wa habari (Journalism and mass communication), pia ni mama wa kiroho wa binti mmoja, lakini pia ni binti anaejiamini, mchapakazi na mcheshi na ni mtu anaeishughulisha na biashara za kifamilia ukiachilia mbali na mambo ya mitindo pia binti huyu ni mshehereshaji na mpambaji wa sherehe.
Napenda mitindo na naamini kwa asilimia kubwa mitindo huanya watu kuzungumza kwa njia ya muonekano na pia mitindo ina nguvu kubwa ya kumfanya mtu atafsiriwe kwa namna flan! Kupendeza na kujipenda ni kitu muhimu sana kwa binadamu yeyote hapa duniani na nina amini nikitu cha kwanza kabisa hapa duniani unatakiwa kuwa nacho kabla hujaamisha ki tu icho kwa mtu mwingine na kupendeza kumegawanyika kwenye sehemu kubwa sana ili nguo utakayo vaa au urembo utakao tumia ni muhimu hata muonekano wako wa ngozi afya na mwili viendane kwasababu utako pita watu pia wataangalia na hivyo. Neno kupendeza kuwa na mwenekano nadhhifu na kuendana na mitindo mbalimbali duniani watu wamekua wakichukulia tofauti wakidhani ni  kununua nguo viatu au urembo mpya kila siku, ni kitu ambacho sikiamini hata kidogo na ninachoamini mimi urembo, mitindo pamoja na mwonekano mzuri wakuvutia nipale tu mtu atakapo pangilia mavazi yake kuvaa nguo sahihi inayoendana na mahali anapoelekea na kuzingatia muda pia. Kinachotakiwa ni kujiamini na kuwa huru na vazi hilo usiogopeshwa na macho ya watu.
Karibu sana......
Kupitia blog hii utaweza kujifunza mambo mbalimbali ya mitindo na urembo lakini pia utaipatia habari mbali mbali duniani kote zinazohusiana na mitindo.

Content Copyright © 2016 by Flaviana Maguha All rights reserved.