RAGGED JEANS(JEANS ZA KUCHANWA)

Ragged jeans(jeans za kuchanwa) hizi ni aina za jinsi ambazo zimechanwa kitofauti tofauti(inategemea mtu anapendaje).kuna ambazo zimechanwa Sana za zingine zimechanwa kiasi jinsi hizi anaweza vaa mtu wa maumbile yoyote awe mnene au mwembamba,na pia inategemea mtu anapendelea kuvaa na blauzi gan juu wapo wanaovaa na croptops na wengine hta makoti na kuwa name muonekano nadhifu zaidi jinsi hizi pia zinaweza valiwa sehemu muhimu pia ila tu uvae na nguo inayokustiri maungo na isiwe imechanwa sana inaweza kuwa imechanwa mara moja tu hyo inapendeza zaidi na isiwe imechanwa karibu na sehemu nyeti zaidi hyo yaweza kukunyima uhuru.Pia jinsi hizi zinaweza valiwa na kiatu cha aina yoyote ile upendayo ilimradi tu uwe huru nacho na kiendane na mazingira halisi yaunapoelekea name pia unaweza changanya na staili yoyote ile ilimradi uonekane kifasheni zaidi.

No comments:

Post a Comment

Content Copyright © 2016 by Flaviana Maguha All rights reserved.